Day: January 27, 2022
Hospitali yakataa kumfanyia mgonjwa upandikazji hadi atakapopata chanjo ya UVIKO 19
Msemaji wa Hospitali ya Brigham and Women alithibitisha kwamba chanjo dhidi ya coronavirus “inahitajika” kwa wagonjwa wote wanaopandikizwa viungo.
Rais Lazarus Chakwera ataja baraza jipya la mawaziri
Orodha ya uteuzi wa mawaziri 12 iliyotolewa na ofisi yake inajumuisha mawaziri wawili wapya wengine wakiwa waliokuwa wamesimamishwa kazi
Rais wa Burkina Faso aliyeng’olewa madarakani yupo salama, chanzo cha chama kimesema.
Mapinduzi ya hivi karibuni yamesababisha hali ya sintofahamu Afrika Magharibi, ambapo kumekuwa na mapinduzi Mali na Guinea
Amuua mjamzito kisa deni la gunia mbili za mahindi
Mtuhumiwa adai alifanya hivyo baada ya kuona halipwi deni lake kila anapoenda kudai
UN: Watu 32 wauawa katika ghasia za kikabila Sudan Kusini
Zaidi ya watu 700 waliuawa na wengine kubakwa na kutekwa nyara huko Jonglei kati ya Januari na Agosti 2020