March 2022
-

Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kulawiti mtoto wa miaka saba.
Godi ambaye aliajiriwa kulisha ng’ombe wa bibi wa mtoto huyo alidaiwa kumtoa mwathirika chumbani kwake na kumpeleka chumba anacholala na kuanza kumbaka huku akiwa amemziba mdomo na kumtisha asimwambie mtu alichofanyiwa.
-

Hong Kong martial arts teacher charged over sedition, weapons
The suspects are accused of posting anti-government messages including calls to topple China’s communist regime.
-

China yafunga jiji la watu milioni 9, kutokana na virusi vya C0VID-19.
Siku ya Jumamosi iliripoti vifo viwili vya Covid-19 ikiwa ni mara ya kwanza kwa mwaka huu.
-

Tanzania yafatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19.
Kirusi hicho, kinajumuisha kirusi cha Delta na Omicron, ambacho kimejiunda na kuwa kirusi kipya cha Omicron BA.1.
-

Shambulizi laua wanajeshi 13 Burkina Faso
Taarifa ya Jeshi la Burkina Faso imesema Kikosi cha kijeshi kilichokuwa katika operesheni ya usalama katika eneo la Mashariki kilikabiliana na kundi la watu wenye silaha takriban kilomita ishirini mashariki mwa eneo la Natiaboani, jana…
-

Ukraine yakaidi masharti ya Urusi ya kusalimu amri katika mji wa Mariupol
Urusi ilikuwa imeipa Ukraine hadi saa kumi na moja alfajir ya leo kuwa imesalimu amri mjini Mariupol, lakini haikusema itafanya nini ikiwa Ukraine itakataa kuheshimu matakwa yake.
-

Mtoto wa miaka 14 adaiwa kuwalawiti watoto wenzie 19.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani humo, Allan Bukumbi ni kwamba Mtoto huyo anadaiwa kutumia pipi na biskuti kama njia ya kuwalaghai wenzake ili akamilishe adhma yake ya kuwalawiti.
-

Nearly 3.5 million Ukrainians flee the country: UN
Women and children account some 90 percent of those who have fled.
-

Kikosi kazi chapendekeza mchakato wa Katiba Mpya Tanzania uanze baada ya uchaguzi 2025
Kazi kubwa ya kikosi kazi hicho ni kuangalia na kuchambua mwenendo wa hali ya demokrasia na namna ya kutatua changamoto zinazoikumba baadhi ya vyama vya siasa, ikiwemo mikutano ya hadhara.
-

When should you buy or sell shares?
You must be at least 18 years old to open a brokerage account and trade shares.







