• Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
  • Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
X-twitter Youtube Tiktok Facebook-f Icon-instagram-1 Linkedin Telegram Whatsapp

Day: May 12, 2022

Ubalozi wa Palestina nchini Tanzania watoa neno mauaji ya mwandishi wa Al-Jazeera
Crime & Justice Tanzania

Ubalozi wa Palestina nchini Tanzania watoa neno mauaji ya mwandishi wa Al-Jazeera

Asia GambaMay 12, 2022July 2, 2024

Mwanamke huyo alikuwa amevalia fulana yake iliyoandikwa “PRESS”, hata hivyo alipigwa risasi licha ya kuvaa kizibao chenye alama hiyo ambayo ilidhaniwa itamlinda kama mwandishi wa habari katika maeneo yenye migogoro.

Wizara ya Maji Tanzania yaomba bajeti ya bilioni 709.36 kwa matumizi ya wizara hiyo
Africa East Africa

Wizara ya Maji Tanzania yaomba bajeti ya bilioni 709.36 kwa matumizi ya wizara hiyo

Asia GambaMay 12, 2022May 12, 2022

Jumla ya bajeti ya maendeleo ni Shilingi Billioni 657.8 ambapo kati ya fedha hizo, Shilingi Billioni 407.06 sawa na asilimia 61.87 ni fedha za ndani na Shilingi  Billioni 250.8 sawa na asilimia 38.13 ni fedha za nje.

Ndege iliyokuwa na abiria 11 yaanguka nchini Cameroon
Africa Features

Ndege iliyokuwa na abiria 11 yaanguka nchini Cameroon

Maureen MedzaMay 12, 2022May 12, 2022

Lilikuwa ni janga kubwa la kwanza la anga kuripotiwa Cameroon tangu 2007, wakati ndege ya shirika la ndege la Kenya Airways iliyokuwa na watu 114 kuanguka nchini humo

Tembo wawaua wazimbabwe 60 mwaka huu
Africa Features Nature

Tembo wawaua wazimbabwe 60 mwaka huu

Maureen MedzaMay 12, 2022May 12, 2022

Zimbabwe inashikilia nafasi ya pili kwa idadi kubwa ya tembo duniani ikiwa na tembo 100,000

Katiba mpya na Tume huru yanogesha mkutano wa Baraza Kuu la Chadema Tanzania.
Africa East Africa

Katiba mpya na Tume huru yanogesha mkutano wa Baraza Kuu la Chadema Tanzania.

Asia GambaMay 12, 2022May 12, 2022

Katika mkutano huo ambao uliwakutanisha pia wanasiasa wa siasa za upinzani kutoka ndani na nje ya Tanzania, wanasiasa hao kwa nyakati tofauti wamesema kuwa hoja hizo zinapaswa kufanyika kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025.

Uncensored & Undaunted

Find Us Here

Facebook-f X-twitter Linkedin-in Youtube Instagram
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions

Mwanzo Tv News 

All Rights Reserved © 2024

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policyOkNo