Katiba mpya na Tume huru yanogesha mkutano wa Baraza Kuu la Chadema Tanzania.
Katika mkutano huo ambao uliwakutanisha pia wanasiasa wa siasa za upinzani kutoka ndani na nje ya Tanzania, wanasiasa hao kwa nyakati tofauti wamesema kuwa hoja hizo zinapaswa kufanyika kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025.