Mwenyekiti wa CWT Rombo auawa mwili wake watupwa barabarani
Tukio hilo limetokea leo majira ya saa 10 alfajiri eneo la Mrere Mashati,karibu na shule ya Sekondari Shauritanga ambapo mwili wa mwalimu Hiza umekutwa barabarani huku damu zikiwa zinachuruzika kwenye lami