Europe ‘epicentre’ of monkeypox outbreak: WHO says
The regional director also warned that the risk was increasing as summer had arrived with “tourism, various Pride events, music festivals and other mass gatherings planned across the region.”
The regional director also warned that the risk was increasing as summer had arrived with “tourism, various Pride events, music festivals and other mass gatherings planned across the region.”
Shirika la Afya Duniani (WHO) lilisema Jumatano Ulaya inasalia kuwa kitovu cha mlipuko wa Monkeypox duniani, huku visa zaidi ya 1,500 vikiripotiwa katika eneo hilo.
Ni zoezi la kijeshi lililofanyika siku 14 kuanzia Mei 28, ambalo huandaliwa na nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki, likihusisha washiriki kutoka majeshi na vitengo mbalimbali vya nchi wanachama kwa nia ya kukabiliana na changamoto za kiusalama.
The legislation must clear several more hurdles before becoming law, but after Wednesday’s vote a small but enthusiastic group of activists celebrated noisily outside parliament, weeping, hugging and waving rainbow flags.
Mamlaka ya udhibiti wa nishati na petroli (EPRA) Jumanne ilitangaza kupanda kwa bei ya mafuta kwa KSh9 kwa lita.
Mashambulizi yalitokea katika jimbo lenye utajiri wa gesi la Cabo Delgado, ambapo wanajihadi walianzisha uasi wa umwagaji damu mwaka 2017
A first flight was due to take off from Britain for the East African country late Tuesday but was cancelled after a last-minute ruling by the European Court of Human Rights.
Somalia’s ambassador to Kenya, Mohamoud Ahmed Nur, walked out of the event in Nairobi on Tuesday in protest at the presence of the Somaliland envoy, its embassy said in a statement.
Safari ya kwanza ya ndege ilipaswa kuondoka Uingereza kuelekea Rwanda Jumanne jioni lakini ilikatishwa baada ya uamuzi wa dakika za mwisho wa Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu.