Ofisa Mipango nchini Tanzania alawiti mtoto wa miaka mitano ndani ya gari
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, ACP Ali Makame amewaambia wanahabari kuwa, tukio hilo lilitokea Agosti 13, 2022, majira ya saa moja na nusu jioni katika Kijiji na Kata ya Kibaoni, Tarafa ya Mpimbwe, Wilaya ya Mlele