Russia says eight suspects detained over Crimea bridge blast
The suspects include five Russians and “three Ukrainian and Armenian citizens
The suspects include five Russians and “three Ukrainian and Armenian citizens
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu ziara hiyo, mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema kuwa, ziara ya Rais Samia itaanzia wilayani Kakonko.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi nchini Tanzania, Mhandisi Hamad Masauni amezitaka Jumuiya ya Kimataifa na Washirika wa Maendeleo kusaidia mchakato wa kuwarudisha Wakimbizi wa Burundi kwa hiari nchini kwao kwa kuweka sawa mazingira ya ndani ya nchi hiyo.
Wasichana walio na ujana wana haki ya kuishi salama, kuelimika, na afya. Ikiwa wanaungwa mkono vyema wakati wa miaka ya ujana, wasichana wana uwezo wa kubadilisha ulimwengu – wote kama wasichana wenye uwezo wa leo na kama wafanyikazi wa kesho, mama, wajasiriamali, washauri, wakuu wa kaya, na viongozi wa kisiasa.
Aidha kupitia nafasi hiyo atakuwa pia Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya IPU na Kamati ya Uongozi ya Makundi ya Kijiografia.
Waziri wa Maendeeo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum nchini Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima amesema Serikali ya nchi hiyo kupitia Wizara za Kisekta imeanza mapitio ya sheria ya ndoa ya mwaka 1971 pamoja na sheria nyingine zinazogongana ili kuwasaidia watoto wa kike kuhusu umri wa kuolewa.
Kwa ziara hiyo, Tanzania imekuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki kwa Rais Ruto kufanya ziara ya kikazi, na nchi ya tano kutembelea dunia tangu aapishwe Septemba 13 mwaka huu, ikitanguliwa na Uingereza, Marekani, Ethiopia na Uganda.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya wa Tanzania Ummy Mwalimu, wakati wa kongamano la kwanza la kitaifa la afya ya akili ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya afya ya akili yanayoadhimishwa duniani hii leo.
Sabaya na wenzake wanne walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kwa mara ya kwanza Juni Mosi mwaka huu wakikabiliwa na mashitaka 7 ikiwemo uhujumu uchumi, ambapo leo Oktoba 10 anatimiza siku 132 akiwa mahabusu.
Sababu za matukio hayo kuongezeka ni kupungua kwa utoaji elimu juu ya madhara ya ukatili na unyayasaji wa kijinsia kwa jamii.