Ndovu 110 wakufa kutokana na kiangazi katika mbuga ya wanyamapori ya Tsavo

Ndovu 110 wamefariki kutokana na kiangazi katika mbuga ya wanyamapori ya Tsavo. Mkurugenzi mkuu wa shirika la kulinda na kuhifadhi wanyamapori nchini KWS Brigedia mstaafu John Waweru anasema...

0

Ndovu 110 wamefariki kutokana na kiangazi katika mbuga ya wanyamapori ya Tsavo.

Mkurugenzi mkuu wa shirika la kulinda na kuhifadhi wanyamapori nchini KWS Brigedia mstaafu John Waweru anasema nyati 32 pia wamefariki katika kiangazi hicho anachokitaja kuwa kibaya zaidi.

Waweru anasema shirika la KWS linafanya mikakati ya kupatia wanyamapori maji msimu huu wa kiangazi kwa ushrikiano na mashirika mbalimbali ya uhifadhi.

In this article

East Africa Premier News Source with Top Stories, Special Features and more.
Uncensored & Undaunted