Mwanawe Odinga, Winnie Odinga kuwakilisha Kenya katika bunge la Afrika Mashariki
Winnie Odinga, Binti mdogo wa Raila Odinga akiibuka wa pili kwa kura 247, jambo ambalo linamfungulia njia ya kuwakilisha taifa la Kenya kwa muhula wa miaka mitano katika bunge la EALA lililoko mjini Arusha.