Activists file case against Meta over Tigray hate posts
The case filed in Kenya’s High Court by rights group says Meta responded inadequately to hateful content on its platform, especially in relation to the war in Tigray
The case filed in Kenya’s High Court by rights group says Meta responded inadequately to hateful content on its platform, especially in relation to the war in Tigray
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Mushy amefariki dunia katika ajali iliyotokea eneo la Mkata wilayani Handeni mkoa wa Tanga.
Hii ilikuwa baada ya Dkt Besigye kukosa kufika kortini mnamo Desemba 14
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa kesi za Covid-19 huenda zikaongezeka wakati wa msimu wa krismasi- na kushauri watu kupata chanjo
Vifo hivyo vilitokea hasa katika vijiji viwili katika jimbo la mashariki la Bihar, ambapo uuzaji na unywaji wa vileo umepigwa marufuku.
While the nightclub may sound like a solid cover for Mr Kanani’s riches and lavish lifestyle, the EACC believes that the City Hall worker has been receiving bribes and kickbacks from contractors.
Dereva wa safari rally nchini Kenya Maxine Wahome, alishtakiwa kwa shambulio siku ya Jumatano kufuatia kisa kilichomhusisha mpenzi wake na dereva mwenzake Asad Khan