December 15, 2022
-

Balozi wa Tanzania nchini Austria afariki dunia.
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Mushy amefariki dunia katika ajali iliyotokea eneo la Mkata wilayani Handeni mkoa wa Tanga.
-

Mahakama yatoa wito wa jinai dhidi ya Kizza Besigye
Hii ilikuwa baada ya Dkt Besigye kukosa kufika kortini mnamo Desemba 14
-

Visa vya Covid-19 vina uwezekano wa kuongezeka wakati wa msimu wa sikukuu- WHO
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa kesi za Covid-19 huenda zikaongezeka wakati wa msimu wa krismasi- na kushauri watu kupata chanjo
-

Watu 22 wafariki kwa kunywa pombe yenye sumu nchini India
Vifo hivyo vilitokea hasa katika vijiji viwili katika jimbo la mashariki la Bihar, ambapo uuzaji na unywaji wa vileo umepigwa marufuku.
-

Unexplained millions land 1824 owner in EACC trouble
While the nightclub may sound like a solid cover for Mr Kanani’s riches and lavish lifestyle, the EACC believes that the City Hall worker has been receiving bribes and kickbacks from contractors.
-

Dereva maarufu wa safari rally wa Kenya afunguliwa mashataka ya kushambulia
Dereva wa safari rally nchini Kenya Maxine Wahome, alishtakiwa kwa shambulio siku ya Jumatano kufuatia kisa kilichomhusisha mpenzi wake na dereva mwenzake Asad Khan








