Ufaransa inapanga kuongeza umri wa kustaafu hadi 64 ifikapo 2030
Waziri Mkuu Elisabeth Borne anasema mabadiliko hayo ni muhimu ili kuzuia upungufu mkubwa katika mfumo huo katika siku zijazo
Waziri Mkuu Elisabeth Borne anasema mabadiliko hayo ni muhimu ili kuzuia upungufu mkubwa katika mfumo huo katika siku zijazo
Waziri wa Kilimo nchini humo Hussein Bashe alisema serikali imetenga shilingi Milioni 300 zilizoanza kutumika kusafisha hekta 2,900 za mashamba ya kampuni ya Chai Kilolo zilizotelekezwa kwa miaka 34
Uchumi katika mataifa 54 barani Afrika uliathiriwa sana na mdororo wa kiuchumi wa kimataifa wa uvamizi wa Urusi nchini Ukraine
Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini umesema Mtanzania, Abilah Hussein Riziki amefariki dunia jijini Johannesburg katika vurugu.
But what exactly does one get for forking out such amounts of money to access the originally-free platform?
Uber Limited ilisitisha huduma zake nchini Tanzania ikipinga kanuni mpya za usafiri wa teksi mtandaoni zilizotangazwa na Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu nchini humo (LATRA)
Kwa mujibu wa Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk. Albina Chuwa, bei hizo zitapungua kutokana na juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali ya Tanzania katika kudhibiti mfumuko wake, ikiwemo kuimarisha sekta ya kilimo kwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Kilimo, kutoa ruzuku kwenye mafuta na mbolea.
Watoto watatu pia walikuwa miongoni mwa waliofariki na wengine 15 wanaendelea kupokea matibabu hospitalini.
Hivi karibuni vyombo vya habari nchini Tanzania viliripoti taarifa juu ya shule kutoa mafundisho ya ulawiti kwa wanafunzi katika shule hizo
Rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kupinga hukumu iliyomwachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake, imepangwa kuendelea kusikilizwa kwa siku tano mfululizo kuanzia Februari 27, 2023.