Mandonga Na ‘MlungaMbunga’ Yuko Nairobi Kwa Pigano Dhidi Ya Lukyamuzi

Pigano linalosubiriwa kwa hamu na gamu dhidi ya mandonga nan a mganda Kenneth Lukyamuzi litapeperushwa moja kwa moja  kuanzia saa moja usiku kutoka ukumbi wa Kasarani Gymnasium.

0

Pigano linalosubiriwa kwa hamu na gamu dhidi ya mandonga nan a mganda Kenneth Lukyamuzi litapeperushwa moja kwa moja  kuanzia saa moja usiku kutoka ukumbi wa Kasarani Gymnasium.

Pambamo hilo litapatikana kwa watazamaji wote wa GOtv na DStv.

Akizungumza wakati wa upimwaji wa uzani katika makau makuu ya Multichoce, katibu mkuu wa chama cha ndondi nchini Julius Odhiambo mabodia wote wanaoshiriki pigano hilo kutoka Tanzania na Uganda wamewasili.

Wakati wa hafla hiyo hiyo, mkurugenzi mkuu wa MultiChoice Kenya, Nancy Matimu alithibitisha kuingia rasmi kwa MultiChoice katika tasnia ya ndondi inayokua kwa kasi nchini ili kusaidia kuwaonyesha wachezaji ubora wa mchezo huu huku watazamaji wa DStv na GOtv wakiendelea kuburudika.

Pambano hilo dhidi ya Kenneth Lukyamuzi wa Uganda litakuwa pambano la mandonga la  pili la Pro Boxing jijini Nairobi baada ya Mtanzania huyo kumshinda Mkenya Daniel Wanyonyi katika pambano lisilo la ubingwa.

In this article

East Africa Premier News Source with Top Stories, Special Features and more.
Uncensored & Undaunted