November 13, 2023
-

Madaktari Muhimbili wamtoa mtoto kipande cha plastiki kwenye mapafu alichoishi nacho miezi 23
Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wamefanikiwa kutoa kipande cha plastiki kwenye pafu la kushoto la mtoto mwenye umri wa miaka 11, kupitia kifaa maalumu kinachoitwa Flexible Bronchoscopy.
-

ACT Wazalendo kuchambua miswada ya uchaguzi iliyosomwa bungeni
Chama cha ACT Wazalendo kimeielekeza Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho kuichambua Miswada ya Sheria kuhusu Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi na Vyama vya Siasa iliyosomwa kwa mara ya kwanza Bungeni tarehe 10 Novemba 2023.
-

Kesi ya Polisi wanaodaiwa kufanya unyang’anyi wa kutumia silaha yapigwa kalenda, upepelezi ukiwa bado haujakamilika
Washtakiwa hao ni waliokuwa askari kanzu watatu mwenye namba F 7149 D/Coplo Ramadhani Tarimo (42) maarufu kama Rasta na mkazi wa Kipawa; G 7513 D/Coplo Majid Abdallah(35) na mkazi wa Kunduchi na WP 6582 D/…
-

Magonjwa yasiyoambukiza changamoto Afrika.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi Magonjwa yasioambukiza Wizara ya Afya Dkt. Omary Ubuguyu katika uzinduzi wa madhimisho ya wiki ya magonjwa yasioambukiza iliyoandaliwa na Wizara ya Afya, Ofisi ya (TAMISEMI) uongozi wa Mkoa wa Dar…







