Crime & Justice East Africa Politics Rights & Freedoms Tanzania

Kesi ya Dk Slaa kutajwa leo katika Mahakama ya Kisutu

Hii leo inatajwa kwa ajili ya kuangaliwa iwapo upelelezi wa kesi umekamilika, ingawa imefungwa mikono kuendelea na hatua zaidi baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini kuwasilisha kusudio la kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kuhusu kupatikana kwa dhamana ya mshtakiwa kutokana na kuangalia uhalali wa kesi ya jinai kwa haraka.