Wanaharakati Waandamana Jijini Nairobi Wakitaka Kizza Besigye Aachiliwe
Maandamano hayo ya amani, yaliyoandaliwa na Amnesty International Kenya, Vocal Africa, na mashirika mengine ya kijamii, yalianzia Aga Khan Walk, Nairobi CBD, na kuelekea Bunge la Kenya na Ubalozi wa Uganda.