ACT Wazalendo: Hakuna Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi katika Bajeti ya Waziri Mkuu
Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza wasiwasi wake kuhusu kutoweka kwa matumaini ya mageuzi katika sheria za uchaguzi, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza wasiwasi wake kuhusu kutoweka kwa matumaini ya mageuzi katika sheria za uchaguzi, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Tamthilia hiyo, iliyoandikwa na aliyekuwa Seneta wa Kakamega Cleophas Malala, imezungumzia pakubwa madhila, mahangaiko na hali ngumu ya Maisha wanayopitia kizazi cha vijana alamarufu Gen Z.
Lissu alikamatwa Aprili 9, 2025, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma muda mfupi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara. Usiku huo huo alisafirishwa kwa magari hadi Dar es Salaam na kufikishwa katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central), kabla ya kupelekwa mahakamani leo asubuhi.
Lissu has consistently called for electoral reforms and warned that Chadema would oppose the elections unless changes are made to ensure free and fair voting.
The ongoing controversy over Echoes of War has sparked a national conversation about the importance of free expression and the role of youth in holding authority accountable.
Echoes of War play focuses on the struggles of Generation Z (Kenyan Youth) in their fight for good governance. The June 2024 Gen Z protests stemmed from President William Ruto’s track record on poor governance.