Maafisa wa Polisi wa Kenya Washtakiwa Kwa Mauaji Kufuatia Kifo Cha Mwalimu Ojwang Kizuizini
Miongoni mwa walioshtakiwa ni maafisa watatu wa polisi, Afisa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Nairobi (OCS) aliyesimamishwa kazi Samson Kiprotich Talaam, Konstebo James Mukhwana. Wengine waliotajwa katika kesi hiyo ni John Ngige Gitau, Gin Ammitoa Abwao, na Brian Mwaniki Njue.