Mahakama Yakataa Ombi la Kufuta Kesi ya Kambi ya Kifahari ya Ritz-Carlton Maasai Mara
Kesi hiyo ilifunguliwa mwezi Agosti na mwanaharakati wa mazingira Meitamei Ole Dapash, aliyepinga kufunguliwa kwa kambi hiyo akidai imejengwa katika eneo muhimu la kupitisha wanyamapori kati ya Hifadhi ya Maasai Mara nchini Kenya na Hifadhi ya Serengeti nchini Tanzania.