Asia Gamba
-

Wanyama Pori hai kuanza kusafirishwa tena nje ya nchi.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii nchini Tanzania Mary Masanja amesema Serikali ya nchi hiyo itaondoa zuio la biashara ya usafirishaji wa wanyamapori hai nje ya nchi.
-

Dk Mpango: Mahakama za Afrika zisipendelee
Dk Philip Mpango amesema mahakama za Afrika zinapaswa kuwa huru, zisizo na upendeleo na zenye kudhibiti rushwa
-

VUTE NIKUVUTE YAIBUKA KESI YA MBOWE
Shahidi wa sita kutoka upande wa Jamhuri SSP Sebastian Madembwe, ametoa ushahidi wake mbele ya Jaji Joachim Tiganga.
-

SHAHIDI AELEZA MIPANGO YA MBOWE KUMDHURU SABAYA
Shahidi wa pili katika kesi ya Uhujumu Uchumi yenye makosa ya Ugaidi ndani yake inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu leo ameileza mahakama jinsi ambavyo Mbowe alivyokua na mkakati wa kutaka kumdhuru…
-

Mahakama yasomewa kielelezo cha kwanza cha ushahidi
Mahakama Kuu, Divisheni ya makosa Rushwa na Uhujumu Uchumi imesomewa kielelezo cha kwanza cha ushahidi wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi, inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania…
-

Kesi Ya Mbowe: Jaji adai mapingamizi yaliyoletwa na utetezi hayana mashiko
“Uamuzi mdogo uliotolewa na Jaji leo hatujaridhika nao, Uamuzi katika mapingamizi yote mawili. Jaji ambaye kwa sasa ni Jaji Kiongozi hajaonyesha uongozi wa kutenda haki. Tutakwenda kukutana kama chama kutafakari kwa kina wakati Mawakili wakishauriana…
-

Vifo kutokana na virusi vya corona vyapungua.
Shirika la Afya Duniani, (WHO) limesema idadi ya vifo vya kila wiki kutokana na ugonjwa wa COVID-19 imeendelea kpuungua na hivi sasa imefikia kiwango cha chini zaidi kwa takribani mwaka mmoja. WHO imesema kitakwimu ikilinganishwa…
-

Dkt. Gwajima kumuwakilisha rais Samia kongamano la wanawake nchini Urusi.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima anatarajia kumwakilisha Rais wa Tanzania Samia Suluhu katika Kongamano la tatu la Kimataifa la Wanawake.
-

Yanga yapigwa faini ya milioni 11
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limeipiga faini ya shilingi milioni 11 klabu ya Yanga nchini Tanzania.








