Asia Gamba
-

Hatma ya Sabaya na wenzake kujulikana leo
Hii ni baada ya Mahakama kutoa uamuzi wa iwapo Sabaya na wenzake wanakesi ya kujibu au la
-

Rais Samia akerwa na wanaovujisha siri za Serikali
Asema suala la kutunza siri za Serikali limekuwa ni kama maradhi
-

Shahidi akana kuhusika kumkamata Tito Magoti, Eric Kabendera na kupotea kwa Ben Saanane
Ni katika kesi ya Ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzanke watatu
-

Tanzania: Samia awalilia waliofariki ajali Simiyu
Watu 14 wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea mkoani Simiyu
-

Tanzania: Nani kukalia kiti cha Uspika Tanzania?
Wenye misemo yao wanasema kwa sasa habari ya mjini ni kuhusu nani atakalia kiti cha Uspika wa bunge la Tanzania?
-

JWTZ yatoa tahadhari dhidi ya matapeli
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza taarifa za baadhi ya watu waliowaita matapeli.
-

Watu saba wamefariki kwa kula samaki mwenye sumu
Watu 7 wamefariki dunia na wengine 24 kulazwa katika Hospitali ya Wilaya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kula kitoweo cha samaki aina ya kasa anayedaiwa kuwa na sumu.
-

Jaji Siyani awataka Naibu Wasajili kutimiza majukumu yao kikamilifu
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mustapher Siyani amewataka Naibu Wasajili kutimiza majukumu yao kikamilifu ili kuchochea maendeleo ya Mahakama.
-

KINA MBOWE WAWEKA PINGAMIZI LINGINE TENA
Jopo la mawakili wa utetezi katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu wamepinga hati ya kukamatia mali iliyowasilishwa na Shahidi wa 8, kwa kile walichodai kuwa hati hiyo imeandaliwa kwa sheria…








