Asia Gamba
-

Maduka ya dawa binafsi yaliyo nje ya hospitali za Serikali kuondolewa
Imeelezwa kwamba maduka hayo yapo kinyume cha kanuni ya Famasia
-

UNICEF:Walichopoteza watoto kielimu kutokana na COVID-19 ni vigumu kurekebishika
Kuvurugika kwa mfumo wa utoaji elimu iwe kwa shule kufungwa kabisa au mchanganyiko wa kusomea nyumbani na mtandaoni kumeathiri zaidi ya watoto milioni 635 duniani kote.
-

Mifumo ya elimu yatakiwa kwenda sawa na kasi ya Teknolojia
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa asema mifumo iliyopo sasa imepitwa na wakati
-

Askofu Shoo aweka imani yake kwa Dk Tulia
Asema Tulia akiwa Spika atarudisha heshima ya Bunge ambayo kwa muda mrefu ilipotea.
-

Familia za watu watano waliopotea waomba kuonana na Waziri wa Mambo ya Ndani.
Ni baada ya kutoridhishwa na namna ambavyo Jeshi la Polisi linavyofatilia kesi ya vijana hao.
-

Shahidi akana kuona mpango wa Mbowe kupanga njama za Ugaidi
Shahidi huyo ambaye ni Askari Polisi amesema uchunguzi wake haukuona ujumbe wenye viashiria vya moja kwa moja vya mpango wa kutekeleza makosa ya ugaidi.
-

CCM kuchuja waliowania kuchukua kiti cha Uspika
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho leo itakaa kuchuja na kufanya uteuzi wa mwisho kwa wagombea hao
-

Abakwa na wanaume watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi
Tukio hilo limetokea huko Mashonaland Mashariki nchini Zimbabwe
-

Nani kumrithi Maalim Seif Sharif Hamad
Harakati za kumtafuta mrithi wa kiti cha Uenyekiti ilioachwa na Maalim Seif hivi sasa zinaendelea ndani ya chama cha ACT-Wazalendo
-

Dodoma yapitiwa na tetemeko la ardhi
Tetemeko hilo lililotokea usiku wa kuamkia jana limetajwa kuwa na ukubwa wa 5.5 katika kipimo cha richter







