Asia Gamba
-

Aliyeuwa kisa 6000 aachiwa kwa masharti
Mahakama imemuachia kwa masharti ya kutotenda kosa lolote la jinai katika kipindi cha mwaka mmoja
-

Dk Mpango ataka uzalendo kwenye mradi wa Bomba la Mafuta
Amesema wananchi wa Tanzania na Uganda wanapaswa kuwa wazalendo katika mradi huo kutokana na umuhimu wake.
-

IGP Sirro:Tukio Mtwara lisiwafanye Watanzania kutoliamini jeshi lenu
Asema hata kama ni Askari atashghulikiwa kama wahalifu wengine, na yeye hawezi kulinda mtu wa hovyo hovyo
-

Waandaji filamu Kenya, Tanzania na Uganda washinda shindano la UNESCO na Netflix
Ni miongoni mwa washindi wa awali baada ya mchujo wa kwanza wa mashindano hayo
-

Waliomuua dereva taksi na mwanafunzi wa chuo wakamatwa
Wanadaiwa kutumia visu, mawe na fimbo kuwaua watu hao
-

Polisi watoa tena ufafanuzi kuhusu askari aliyejinyonga mahabusu
Wasema askari aliyejinyonga hazikwi kijeshi kwa kuwa hakufa kishujaa.
-

Mwanafunzi wa darasa la tatu auwawa Tanga
Inadaiwa alikua akitoka msikitini na mwenzake ambaye wanasoma wote
-

Kesi ya Mbatia yagonga mwamba
Kesi hiyo aliyoifungua kupinga utaratibu wa kujiuzulu Spika Ndugai imegonga mwamba baada ya Mahakama kuitupilia mbali









