Asia Gamba
-

Kiswahili kuanza kutumika AU
Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali umeridhia na kupitisha ombi la Tanzania la kutaka Kiswahili kuwa lugha ya kazi katika Umoja huo.
-

Watoto wa familia moja wafariki kwa kukosa hewa
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana Jumapili, ambapo chanzo kimetajwa kuwa ni moto wa mkaa uliokuwa umewashwa ndani ili kuwapa joto watoto hao.
-

Wasichana na watoto milioni 200 wamekeketwa duniani kote
Ukeketaji hufanyika kwa watoto wa kike wenye umri wa kuanzia pale alipozaliwa hadi umri wa miaka 15 na kwa sababu tofauti tofauti za kijamii kulingana na eneo na nchi.
-

Polisi wawekwa kikaangoni sakata la mauaji Mtwara.
Rais Samia ataka kamati huru kuchunguza tukio hilo, asema polisi haiwezi kujifanyia uchunguzi yenyewe
-

Gwajima:Wanaume pingeni vitendo vya ukeketaji
Waziri Gwajima asema baadhi ya wanawake wanaamini kuwa ukikeketwa ndio una nafasi kubwa ya kuolewa
-

TACAIDS:Asilimia 60 ya vijana balehe walipima VVU 2020
Ni kati wa vijana wa umri wa miaka 15-24, huku kundi la wasichana likiwa ni mara tatu ya kundi la wavulana
-

Bashe:Serikali haiwezi kutangaza wazi kuwa inazuia usafirishwaji nje ya nchi bidhaa fulani
Asema kufanya hivyo si jambo jema kwenye biashara, kwa kuwa kuna miongozo ya kanuni za kibiashara.
-

Maono ya Zuhura Yunus Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu Tanzania
Asema atafurahi sana akifanikiwa kuweka mfumo mzuri wa mawasiliano baina ya Ikulu na waandishi wa habari
-

Makali ya mgao wa umeme yapungua
Naibu Waziri Tanzania amesema tayari TANESCO wameshatafuta njia mbadala ya kudhibiti jambo hilo.
-

Atumia sumu ya panya kujiua baada ya mke kumkataa
Mkazi wa Bariadi mkoani Shinyanga, amekutwa amekufa baada ya kunywa sumu ya panya siku moja baada ya kuachwa na mke wake







