Asia Gamba
-

Dkt Jafo asema samaki wa Ziwa Victoria hawajaathirika kwa Zebaki
Amesema wataalamu wanaendelea kuhakikisha matumizi mbalimbali ya kemikali hiyo katika maeneo ya Kanda ya Ziwa yanadhibitiwa
-

Mwalimu wa dini adaiwa kulawiti watoto wanne
Anadaiwa kufanya vitendo hivyo, mara baada ya kumaliza vipindi vya dini
-

Shahidi akwamisha kesi ya Mbowe kuendelea.
Ni baada ya hali yake kiafya kutoimalika na kumfanya kushindwa kufika mahakamani
-

Waziri Mkuu aingilia kati Mgogoro wa Ngorongoro
Asema njia ya kutatua hayo ni kufanya nao mikutano wakazi wa eneo hilo
-

UNICEF:Hali ya Watoto pembe ya Afrika ni mbaya
Yahofia ongezeko la watoto wenye utapiamlo mkali kutokana na ukame unaoendelea Afrika.
-

Rais Samia kufanya ziara nchini Ufaransa na Ubelgiji
Akiwa huko anataraja kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari Duniani.
-

Uundaji wa ramani 38 za kidijitali wakamilka
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Tanzania, imekamilisha uandaaji ramani za kidijitali zinatotumika kama ramani za msingi kwenye utekelezaji mfumo wa anuani za makazi katika halmashauri 38 nchini humo .
-

Fukuto laendelea ndani ya chama cha ACT -Wazalendo
Waliokuwa wanachama wa chama hicho wasema hakuna demokrasia ndani ya chama hicho.
-

Dar yaongoza kwa wagonjwa wa corona
Visa hivyo vimeripotiwa katika kipindi cha Januari 29 hadi Februari 6, mwaka huu, huku wagonjwa wapya 76 kati ya 78 waliolazwa wakiwa ni wale ambao hawajachanjwa na vifo vilikuwa vitatu.
-

Nape:Uchumi wa kidijitali utafikiwa endapo kutakuwa na miundombinu wezeshi
Nape ameyasema hayo leo mjini Dodoma, katika kikao kazi cha Wakuu wa Mikoa kuhusu kufanikisha utekelezaji wa mfumo wa anwani za makazi nchini humo ifikapo mwezi Mei mwaka huu.







