Asia Gamba
-

TRC yasaini mkataba wa ununuzi wa behewa 1430 kwa ajili ya SGR
Ununuzi wa behewa hizo unagharimu kiasi cha Dola za Kimarekani milioni 127.2
-

Mfumuko wa bei wa Taifa wapungua
Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Januari,2022 umepungua hadi asilimia 4.0% kutoka asilimia 4.2% kwa mwaka ulioishia mwezi Disemba 2021
-

Gwajima awapongeza mangariba walioacha kazi ya ukeketaji
Asema vitendo vya ukeketaji vinadhalilisha utu wa mtoto wa kike na kumuachia maumivu.
-

Msako wa Makonda hadi Koromije
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni leo imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
-

Kesi ya Maofisa wa Polisi yapigwa kalenda
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara leo imeahirisha kesi ya mauaji inayowakabili maofisa saba wa polisi mkoani Mtwara hadi Februari 22, 2022 itakapotajwa tena.
-

Mauzo ya bidhaa za Tanzania na Rwanda yafikia Dola milioni 269.
Tanzania na Rwanda zilitia saini mkataba wa kukuza biashara ya mipakani na kuwakaribisha wafanyabiashara kushiriki katika kamati ya pamoja ya mpaka.
-

Waziri ataka bei ya vifaa vya ujenzi na vinywaji kushuka
Amesema wazalishaji, wasambazaji na wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi wauze bidhaa kwa kuzingatia gharama halisi za uzalishaji na usambazaji.
-

GSM wajiondoa udhamini Ligi Kuu
Hii ni baada ya madai kuwa TFF na Bodi ya Ligi kushindwa kusimamia matakwa yaliyopo kwenye mkataba walioingia
-

Sabaya asema Mashtaka anayokabiliwa nayo ni ya kubambikiwa
Asema kama vyombo vya dola vingefanya uchunguzi vizuri wangegundua kuwa mashitaka dhidi yake si ya kweli.








