Asia Gamba
-

Wafaransa wakaribishwa kuja kuwekeza Tanzania
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewakaribisha wawekezaji kutoka nchini Ufaransa kuja kuwekeza nchini mwake huku akisema serikali ya Tanzania imeboresha mazingira ya kufanya biashara nchini humo.
-

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania atunukiwa tuzo ya Kimataifa.
Tuzo hiyo imetolewa na The Banker Magazine, kampuni tanzu yagazeti la Financial Times, kutokana na jitihada zake za kuimarisha uchumi katikati ya janga la UVIKO-19.
-

Mbowe na wenzake wanyimwa chakula miezi 5 sasa
Wamedai kuwa wanapohudhuria mahakamani wakitoka kurudi mahabusu wanakuta chakula kimeshaliwa na magereza.
-

Halima Mdee na wenzake ni wabunge halali wa bunge la Tanzania
Spika asema wabunge hao wapo kwa mujibu wa sheria kwani kila mbunge ni lazima atokane na chama na hao nao wametokana na chama.
-

Atelekeza gari lenye madini ya dhahabu yenye thamani ya zaidi milioni 140.
Ni baada ya polisi kumshtukia kuwa anayasafirsha kinyume cha sheria, kwa kukwepa kodi
-

Matumizi ya P2 yanavyochochea mzunguko wa hedhi kwa mwanamke kuvurugika
Wataalam wanasema madhara mengine ya utumiaji wa P2 ni damu ya hedhi kwa mwanamke kuwa nzito kupita kiasi.
-

Vijana 2400 huambukizwa VVU kila mwezi
Maambukizi hayo ni sawa na vijana 28,800 wanaombukizwa VVU kwa mwaka.
-

Huyu ndiye Dk Mwele Ntuli Malecela
Aliyekuwa mtumishi wa Shirika la Afya Duniani hadi umauti ulipomfika
-

Magazeti la Mawio, MwanaHALISI, Tanzania Daima na Mseto yaachiwa huru
Waziri asema kifungo hicho kimetosha, huku akirudisha leseni za magazeti hayo.
-

Viongozi wa CCM wamjulia hali Profesa Jay Muhimbili
Waahidi kutoa ushirikiano katika kila hatua ya matibabu yake







