Asia Gamba
-

Rais Samia agusia tena matukio ya mauaji nchini Tanzania
Asisitiza viongozi wa dini na machifu kuirejesha jamii karibu na Mungu kuondoa imani potofu
-

Askofu Niwemugizi amsihi Rais Samia kutokubali kulinganishwa na Mungu.
Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi amemsihi Rais Samia Suluhu Hassan kutokubali kulinganishwa na Mungu kwa namna yoyote ile.
-

Kesi ya Maofisa saba wa Polisi wanaodaiwa kuua yapigwa tena kalenda
Kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis inayowakabili maofisa saba wa polisi mkoani Mtwara, imeahirishwa kutokana na upelelezi bado unaendelea.
-

Tanzania yapata mkopo wa masharti nafuu wenye thamani shilingi trilioni 1.5 kutoka Benki ya Dunia.
Tanzania na Benki ya Dunia zimetiliana saini mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.5 za kitanzania kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa…
-

GGM kuilipa TANESCO bilioni 5 kila mwezi
Shirika la Umeme nchini (Tanesco) limesaini mkataba wa kuuzia umeme Mgodi wa Dhahabu Geita (GGM) ambao utawezesha shirika hilo kupata shilingi bilioni 5 kwa mwezi.
-

Uuzaji asali isiyochakatwa nje ya nchi wapigwa marufuku.
Serikali ya Tanzania imezuia uuzaji wa asali isiyochakatwa kwenda nje ya nchi ikisema uuzaji huo unaondoa thamani ya zao hilo.
-

Kamati ya uchunguzi wa mauaji ya Mtwara yaongezewa siku 7
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongeza siku saba kwa kamati maalum iliyopewa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyofanyika mkoani Mtwara na Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga.
-

Mwanaume wa miaka 40 apandikizwa uume
Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan imesema imefanikisha upandikizaji wa kwanza wa uume katika kanda ya Afrika Mashariki na ya Kati .
-

Kamati ya PAC Tanzania yabaini hasara ya bilioni 60 ATCL
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Shirika la Ndege (ATCL) lilipata hasara ya shilingi bilioni 60.24 kwa mwaka wa fedha 2019 /2020.
-

Babu atuhumiwa kumbaka mjukuu wake mkoani Kagera, nchini Tanzania
Jeshi la Polisi Mkoani Geita linamshikilia mzee aitwaye, Grevas Katemi (89) mkazi wa Nyamisebeyi, wilayani Biharamulo mkoani Kagera kwa tuhuma za kumwingilia kumbaka mjukuu wake wa miaka 20.







