Asia Gamba
-

Fainali UEFA kuchezwa Parisi badala ya Urusi
Fainali ya Ligi ya Mabingwa 2022 itachezwa jijini Paris baada ya Urusi kuvuliwa uwenyeji wa mechi hiyo kufuatia uvamizi wa taifa hilo nchini Ukraine.
-

Hakuna Mtanzania aliyepata madhara yoyote nchini Ukraine
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema kuwa hadi sasa hakuna Mtanzania aliyepata madhara yoyote kufuatia hali inayoendelea nchini Ukraine na kusababisha Serikali…
-

Auawa baada ya kutaka kumbaka Mwanafunzi wa kidato cha pili.
Kijana anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 18 hadi 22 ameuawa na mwili wake kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali waliodai kuwa kuwa alijaribu kutaka kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika…
-

Mwanafunzi aandika barua ya kuacha shule kisa uvuvi
Mwanafunzi aliyechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Msimbati iliyopo mkoani Mtwara, Tanzania, amemuandikia barua mkuu wa shule hiyo ya kukataa kusoma shule.
-

Ushauri kwa Watanzania waishio Ukraine
Februari 22, 2022 Ubalozi wa Tanzania, Stockholm ulitoa taarifa ya tahadhari juu ya uvumi uliokuwa unaendelea huko Ukraine juu ya uwepo wa Vita.
-

Waliotuhumiwa kwa ugaidi waachiwa huru baada ya kukaa mahabusu miaka minne
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Mtwara imewaachia kwa dhamana watu watatu walioshitakiwa mwaka 2017 kwa kosa la Ugaidi kwa madai ya kujiunga na kikundi cha Hisbu Tahir kinachodaiwa kushawishi watu kujiunga nacho na kuanzisha…
-

Wachimbaji wadogo kutengewa maeneo maalum Tanzania
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali itaendelea kuwawezesha wachimbaji wadogo kwa kutenga maeneo maalum kwa ajili yao na kutoa huduma za tafiti kwa gharama nafuu.
-
Ushauri kwa Watanzania waishio Ukraine
Februari 22, 2022 Ubalozi wa Tanzania, Stockholm ulitoa taarifa ya tahadhari juu ya uvumi uliokuwa unaendelea huko Ukraine juu ya uwepo wa Vita. Wakati Ubalozi huo ukitoa tahadhari hiyo, hali hii leo imekuwa mbaya zaidi…









