Asia Gamba
-

Ma-RC wapewa siku 14 kutoa taarifa za halmashauri zao
Ni zile halmashauri ambazo zimeshindwa kufikia malengo ya ukusanyaji mapato
-

Mrithi wa Maalim Seif kupatikana kesho
Ni baada ya Kamati Kuu ya chama cha ACT Wazalendo, kupitisha majina ya wagombea wa nafasi hiyo
-

Mauaji yalivyotikisa mwezi Januari
Imani za kishirikina, tamaa ya mali na wivu wa mapenzi vimetajwa kuwa ni miongoni mwa sababu za mauaji hayo
-

Amuua mjamzito kisa deni la gunia mbili za mahindi
Mtuhumiwa adai alifanya hivyo baada ya kuona halipwi deni lake kila anapoenda kudai
-

Ashiriki kumuua mama mkwe wake kwa tuhuma za ushirikina
Mtuhumiwa huyo anadaiwa kushiriki mauaji hayo kwa kuwatumia vijana watatu wakishirikiana na mganga wa kienyeji
-

Tanzania: Watu 3,147 waliugua corona mwaka jana
Kati ya watu hao 2990 walikuwa hawajachanja chanjo ya ugonjwa huo.
-

Aliyemuaa mwanamke mmoja Guest apatikana
Adai alipewa shilingi milioni 1,700,000, kutekeleza mauaji hayo kisa wivu wa mapenzi.
-

Mahakama kuanza kusikiliza kesi ya kupinga kujiuzulu kwa Spika Ndugai kesho
Ni baada ya Spika Ndugai na wakili wake kutofika Mahakamani hapo jana.









