Asia Gamba
-

Chadema yagoma kushiriki mkutano wa msaijili hadi Mbowe aachiwe
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitashiriki vikao vya majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa, vilivyoitishwa na Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
-

WHO yatangaza chanjo ya malaria
isiyoweza kufikiwa. Leo, chanjo ya malaria ikifahamika kama RTS, S, zaidi ya miaka 30 ikifanyiwa utafiti inabadilisha historia ya afya ya umma. – Dkt.Tedros
-

Papa Francis aeleza aibu iliyolikumba kanisa Katoliki kuhusu unyanyasaji wa kingono.
Maoni ya Papa Francis kuhusu kiwango cha unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto uliofanywa na kanisa nchini Ufaransa.
-

Prof.Assad asema bora kusimamia unachokiamini kuliko kuwa na unafiki, adai maisha yake kwa sasa ni mazuri baada ya kusimamia anachokiamini
Profesa Mussa Assad amesema hapendi kuitwa Mstaafu na neno hilo linamchukiza, kutokana na yeye kuwa hajawahi kuwa mstaafu bali aliondolewa kazini pasipo kufatwa taratibu za kisheri.
-

Jaji Mkuu asema sheria ya Tanzania sio mbaya, awataka Watanzania kubadili mitazamo
“Nafsi zetu zinaheshimu sheria? Nafsi zetu zinafuata utaratibu?”
-

Utajiri wa mwanzilishi wa Facebook ulivyoporomoka kwa saa chache.
Utajiri wa mwanzilishi wa Facebook ulivyoporomoka kwa saa chache.
-
Utajiri wa siri wa Rais Uhuru Kenyatta na familia yake
Wakati rais wa Kenya aliporudi kupambana na ufisadi, utajiri wa siri wa familia yake uliongezeka pwani, Familia ya Kenyatta imetawala moja ya uchumi mkubwa barani Afrika kwa miongo kadhaa. Lakini kwa washauri wa Uswisi ambao…










