Asia Gamba
-

ALIYEKAMATWA KWA TUHUMA ZA UGAIDI KENYA KUFATILIWA TAARIFA ZAKE
Serikali ya Tanzania imesema inafuatilia madai ya mtu anayedaiwa kuwa ni raia wake kukamatwa kwa tuhuma za ugaidi nchini Kenya.
-

KODI YA MAJENGO KWA NJIA YA UNUNUZI WA UMEME KUANZA Agosti 20,2021 TANZANIA
Serikali imesema inaanza utekelezaji wa kukusanya kodi ya majengo kwa mfumo mpya wa ukusanyaji kupitia ununuzi wa umeme. Zoezi hilo linaanza rasmi kesho Agosti 20,2021 na unafanyika chini ya usimamizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania…
-

MKUTANO WA SADC WAANZA LEO MALAWI
Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi za SADC, umeanza leo #Malawi katika mji wa Lilongwe, ambapo unatarajia kumalizika kesho. Mkutano huo umehudhuriwa na wakuu wa nchi mbalimbali wa jumuiya hiyo…







