Asia Gamba
-

Tanzania yapokea Faru weupe kutoka Afrika Kusini
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 18 kutoka nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi nchini.
-

Dkt Slaa aachiwa huru baada ya siku 48 rumande, atangaza kurudi Chadema
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemuachilia huru Dkt. Wilbord Slaa(76) baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.
-

Miaka Mitatu ya Ukatili wa DRC Inahitaji Mahakama Maalum: Mwendesha Mashtaka wa ICC
Katika mahojiano alipoitembelea Kinshasa, Mwendesha Mashtaka Khan alikubali kushindwa kwa mfumo wa haki za kimataifa kuzuia ukatili wa kutisha ambao umekuwepo kwa miongo kadhaa katika eneo hili na kusema kuwa yeye ni “ana masikitiko makubwa…
-

Waziri Mkuu wa DRC asema zaidi ya watu 7,000 wamefariki mashariki mwa nchi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) alisema Jumatatu kwamba zaidi ya watu 7,000 wamefariki mashariki mwa nchi hiyo tangu mwezi Januari, wakati kundi la M23 lililokuwa likiungwa mkono na Rwanda lilipochukua miji…
-

Rais wa Burundi afanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Rais wa Burundi alielekea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Felix Tshisekedi, kuhusu mgogoro unaoendelea mashariki mwa taifa hilo lenye eneo kubwa la Afrika ya Kati, vyanzo vingi vya…
-

Bulaya:Mimi bado ni mwanachama wa Chadema
Mbunge wa Viti Maalum Esther Bulaya amesisitiza kuwa yeye bado ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), isipokua suala la yeye kufukuzwa uanachama ni mambo ya ndani ya chama na ndio maana mpaka leo…
-

Mkutano wa G20 wafanyika bila uwepo wa uwakilishi kutoka Marekani
Afrika Kusini, nchi ya kwanza ya Afrika kuongoza jukwaa hili, ilichukua urais wa G20 mwaka jana ikiwa ni hatua ya kutoa fursa kwa mataifa tajiri kuyasikiliza mataifa maskini.
-

Wagonjwa nane wa Ebola nchini Uganda waruhusiwa hospitali
Waziri Jane Ruth Aceng amesema kuwa wagonjwa hao wanane walikuwa wakitibiwa na sasa wamepona kikamilifu.









