• Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
  • Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
X-twitter Youtube Tiktok Facebook-f Icon-instagram-1 Linkedin Telegram Whatsapp

Author: Asia Gamba

Maria Sarungi: Serikali ya Tanzania iko nyuma juu ya kutekwa kwangu nchini Kenya
Africa Crime & Justice East Africa Kenya Tanzania

Maria Sarungi: Serikali ya Tanzania iko nyuma juu ya kutekwa kwangu nchini Kenya

Asia GambaJanuary 13, 2025

Tsehai alitekwa Jumapili wakati akitoka saluni kutengeneza nywele zake  eneo la  katikati ya Nairobi ambapo wanaume watatu walimvuta kutoka kwenye teksi yake na kumwingiza kwenye gari lao. 

Msumbiji kuapisha bunge jipya baada ya uchaguzi wa kughushi
Africa Politics

Msumbiji kuapisha bunge jipya baada ya uchaguzi wa kughushi

Asia GambaJanuary 13, 2025

Msumbiji  inajiandaa kuapisha bunge lake jipya leo Jumatatu, baada ya miezi kadhaa ya maandamano ya vurugu kufuatia uchaguzi uliofanyika Oktoba, ambao upinzani unasema ulighushiwa. 

Hivi ndivyo Mwanaharakati Maria Sarungi alivyotekwa nchini Kenya
Crime & Justice East Africa Kenya Tanzania

Hivi ndivyo Mwanaharakati Maria Sarungi alivyotekwa nchini Kenya

Asia GambaJanuary 13, 2025

Hii si mara ya kwanza Maria kufatiliwa na watu wanaodaiwa kuwa ni watekaji ambapo wote waliojaribu kumteka wanahusishwa na mamlaka.

Polisi wakili kumshikilia Dk Slaa
East Africa Rights & Freedoms Tanzania

Polisi wakili kumshikilia Dk Slaa

Asia GambaJanuary 10, 2025

Slaa alikamatwa jana usiku nyumbani kwake Mbweni na mpaka sasa Jeshi hilo halijaweka wazi tuhuma zinazomkabili mwanasiasa huyo.

Kiongozi wa Upinzani wa Msumbiji arejea kutoka uhamishoni
Africa Politics

Kiongozi wa Upinzani wa Msumbiji arejea kutoka uhamishoni

Asia GambaJanuary 9, 2025

Vikosi vya usalama vilizuia wafuasi wake kufika kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Maputo kumlaki Venancio Mondlane alipoingia, ambapo mtu mmoja aliuawa kwa kupigwa risasi na kujeruhiwa kwenye moja ya vizuizi.

Aidan Eyakuze alivyopigania mabadiliko kupitia Uwazi
Development East Africa

Aidan Eyakuze alivyopigania mabadiliko kupitia Uwazi

Asia GambaJanuary 9, 2025

Aidan Eyakuze ni mtaalamu aliyejitolea katika kupigania mabadiliko ya kijamii kupitia uwazi na ushiriki wa wananchi katika masuala ya kisiasa na utawala. Kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa OGP, Aidan alikuwa mkurugenzi wa shirika la Twaweza kwa kipindi cha miaka takribani 10

Mzozo wa DRC umewalazimisha zaidi ya watu 100,000 kuhama ndani ya juma moja
East Africa Politics Social Issues

Mzozo wa DRC umewalazimisha zaidi ya watu 100,000 kuhama ndani ya juma moja

Asia GambaJanuary 9, 2025

Wapiganaji wa M23, wanaoungwa mkono na Rwanda, waliteka mji wa Masisi, mji muhimu katika kanda ya madini ya DRC, siku ya Jumamosi.

Mahakama ya Juu ya Msumbiji yasema chama cha tawala kilishinda uchaguzi wa Oktoba.
Africa Politics

Mahakama ya Juu ya Msumbiji yasema chama cha tawala kilishinda uchaguzi wa Oktoba.

Asia GambaDecember 24, 2024December 24, 2024

Mahakama ya Juu nchini Msumbiji ilithibitisha ushindi wa chama tawala katika uchaguzi wa Oktoba uliozozaniwa, baada ya madai ya ulaghai kusababisha machafuko ya mtaani yaliyochukua wiki kadhaa na kusababisha vifo.

Lissu achukua fomu, Sativa amlipia
East Africa Politics Tanzania

Lissu achukua fomu, Sativa amlipia

Asia GambaDecember 17, 2024

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ambaye pia ni Mgombea Uenyekiti wa Chama hicho, amefika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema zilizopo Mikocheni jijini Dar es salaam na kuchukua rasmi fomu ya kugombea nafasi hiyo. 

Namibia yamchagua rais wake wa kwanza mwanamke
Africa Politics

Namibia yamchagua rais wake wa kwanza mwanamke

Asia GambaDecember 4, 2024

Nandi-Ndaitwah, mwenye umri wa miaka 72, anakuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi hii tajiri kwa madini, ambayo imekuwa ikiongozwa na SWAPO tangu uhuru kutoka Afrika Kusini ya ubaguzi wa rangi mwaka 1990.

Posts navigation

Older posts
Newer posts

Uncensored & Undaunted

Find Us Here

Facebook-f X-twitter Linkedin-in Youtube Instagram
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions

Mwanzo Tv News 

All Rights Reserved © 2024

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy