• Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
  • Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
X-twitter Youtube Tiktok Facebook-f Icon-instagram-1 Linkedin Telegram Whatsapp

Author: Asia Gamba

Ugonjwa wa Shinikizo la Juu la Damu Umeongezeka Kwa 95.4%
Africa East Africa

Ugonjwa wa Shinikizo la Juu la Damu Umeongezeka Kwa 95.4%

Asia GambaMay 18, 2023May 18, 2023

Waziri wa Afya nchini Tanzania Ummy Mwalimu amesema takwimu hizi zinaonesha kwamba wagonjwa hao wenye shinikizo la damu wameonekana kuongezeka takribani mara mbili zaidi kwa kipindi cha miaka mitano.

Prof: Nyagori: Membe amefariki kwa maradhi ya kawaida.
Africa East Africa

Prof: Nyagori: Membe amefariki kwa maradhi ya kawaida.

Asia GambaMay 12, 2023May 12, 2023

Taarifa hiyo ya daktari inakuja kipindi ambacho kumekuwepo na taarifa za uvumi  katika mitandao ya kijamii kuhusu chanzo cha kifo chake.

Mwili wa Membe kuzikwa Mei 16
Africa East Africa

Mwili wa Membe kuzikwa Mei 16

Asia GambaMay 12, 2023May 12, 2023

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe unatarajiwa kuhifadhiwa kwenye nyumba yake ya milele Mei 16, mwaka huu katika kijiji cha Londo mkoani Lindi.

Hafla maalum kumuaga IGP Sirro kesho
Africa East Africa

Hafla maalum kumuaga IGP Sirro kesho

Asia GambaMay 9, 2023May 9, 2023

Taarifa iliyotolewa leo Mei 9, 2023 na msemaji wa jeshi hilo, David Misime imeeleza kuwa sherehe za kumuaga Siro zitafanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam (DPA) kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam Mei 10, 2023 kuanzia saa 1 asubuhi.

Lissu afanikiwa kuliona gari aliloshambuliwa nalo kwa risasi ikiwa ni zaidi ya miaka mitano
Africa East Africa

Lissu afanikiwa kuliona gari aliloshambuliwa nalo kwa risasi ikiwa ni zaidi ya miaka mitano

Asia GambaMay 9, 2023May 9, 2023

Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu leo kwa mara ya kwanza amefanikiwa kuliona gari lake ambalo alishambuliwa nalo kwa risasi jijini Dodoma na watu wasiojulikana.

Waandishi wa habari 272 walipata madhila katika kipindi cha miaka 10 nchini Tanzania
Africa East Africa

Waandishi wa habari 272 walipata madhila katika kipindi cha miaka 10 nchini Tanzania

Asia GambaMay 2, 2023May 2, 2023

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Kajubi Mukajanga katika kongamano la miaka 30 ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yenye kauli mbiu ‘Uhuru wa Kujieleza kama Kichocheo cha Haki Nyingine za Binadamu’ kitaifa maadhimisho hayo yanafanyika visiwani Zanzibar.

Wajawazito kupimwa vipimo vya awali bila malipo 
Africa East Africa

Wajawazito kupimwa vipimo vya awali bila malipo 

Asia GambaMay 2, 2023May 2, 2023

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka akina mama wajawazito wanaofika kwenye Kliniki za Uzazi, Mama na Mtoto kupimwa wingi wa damu, mkojo kuangalia wingi wa protini, shinikizo la damu pamoja na kusikiliza mapigo ya moyo ya mtoto bila kutozwa gharama zozote. 

Mbowe kuongoza kongamano la DUA Afrika Kusini
Africa East Africa

Mbowe kuongoza kongamano la DUA Afrika Kusini

Asia GambaApril 25, 2023April 25, 2023

Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema imeeleza kuwa akiwa Afrika ya Kusini, Mbowe kama Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Vyama vya Demokrasia Afrika (DUA) ataongoza kongamano la kwanza la umoja huo litakalodumu kwa siku nne.

Tanzania yawasafirisha raia wake waishio nchini Sudan
Africa East Africa

Tanzania yawasafirisha raia wake waishio nchini Sudan

Asia GambaApril 25, 2023April 25, 2023

Watanzania hao wamesafirishwa kwa njia ya basi kuelekea Ethiopia ambako watapanda ndege ya Air Tanzania kwa safari ya kurejea nchini.

Bunge lapitisha bajeti ya shilingi bilioni 54 ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Africa East Africa

Bunge lapitisha bajeti ya shilingi bilioni 54 ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Asia GambaApril 24, 2023April 24, 2023

Katika bajeti hiyo, shilingi Bilioni 14.7 ni ya Makamu wa Rais ambapo ni matumizi ya kawaida, shilingi Bilioni 1.2 kwa ajili ya mishahara na shilingi Bilioni 13.4 ni kwa ajili ya matumizi mengine.

Posts navigation

Older posts
Newer posts

Uncensored & Undaunted

Find Us Here

Facebook-f X-twitter Linkedin-in Youtube Instagram
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions

Mwanzo Tv News 

All Rights Reserved © 2024

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy