Ulaji wa nyama kwa Watanzania bado mdogo
Aidha, imeelezwa kiwango cha sasa cha ulaji wa mayai kwa mtu mmoja kwa mwaka ni 106 wakati mapendekezo ya FAO kiasi kinachotakiwa ni 300.
Aidha, imeelezwa kiwango cha sasa cha ulaji wa mayai kwa mtu mmoja kwa mwaka ni 106 wakati mapendekezo ya FAO kiasi kinachotakiwa ni 300.
Akitoa taarifa hiyo kwa vyombo vya habari Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu), Prof. Joyce Ndalichako amesema, kufuatia taarifa hiyo wapo baadhi ya madereva ambao wamekuwa wakipotosha taarifa hiyo na kuchochea ama kuhamasisha madereva wenzao kugoma.
Taarifa hiyo imeendelea kueleza kuwa takriban watu 300,000 wanatarajiwa kukabiliwa na Janga la njaa la juu ngazi ya 5 (IPC Awamu ya 5*) nchini Somalia na Sudan Kusini mwaka huu 2022, huku Hatari ya Njaa ikitokea katika maeneo manane ya Somalia hadi Septemba katika tukio la kushindwa kwa uzalishaji wa mazao na mifugo, kuongezeka kwa gharama za chakula na kwa kukosekana kwa misaada ya kibinadamu iliyopunguzwa.
Mabeyo ametoa kauli hiyo katika hafla ya kumuaga iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa, tarehe 15 Julai 2022, ikiwa ni wiki kadhaa tangu astaafu jeshi tarehe 30 Juni 2022.
Chanjo hizo zinapokelewa wakati mpaka kufikia Julai 12, 2022 Watanzania 10,511,804 walikuwa wamekamilisha dozi ya Uviko-19 huku Tanzania ikiwa imepokea jumla ya dozi 21,226,520.
Amesema ili kuhakikisha mazingira hayo yanaimarika, tayari mchakato wa kupitia Sheria, Kanuni na Sera ya Habari umeanza na unaendelea vizuri.
Alitaka watumishi wa kituo hicho kupatiwa mafunzo ili kuweza kuongeza uelewa zaidi juu ya suala hilo, ambapo Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mustapher Siyani aliahidi kulifanyia kazi.
Taarifa hiyo inakuja siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumzia ugonjwa huo alipokuwa akifungua Mkutano mkuu wa 20 wa Shirikisho la mabaraza ya maaskofu wa Kanisa Katoliki Afrika Mashariki na Kati (AMECEA) jijini Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa na shirika hilo imesema kuwa, upungufu huo umesababisha jumla ya megawati 91 kutokua kwenye mfumo wa usafirishaji umeme hivyo baadhi ya maeneo yatakosa nishati hiyo kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 12 jiioni.
Polisi walisema pia walikuwa wakiweka amri ya kutotoka nje kwa muda usiojulikana katika Mkoa wa Magharibi, unaojumuisha mji mkuu Colombo, ili kuzuia maandamano yanayokua baada ya Rajapaksa kuruka hadi Maldives kwa ndege ya kijeshi.