Asia Gamba

  • Polisi:Kuna watu wanaandaa taarifa za upotoshaji kuleta taharuki

    Polisi:Kuna watu wanaandaa taarifa za upotoshaji kuleta taharuki

    Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema kuwa baadhi ya taarifa hizo zimeandaliwa kwa uangalifu ili kuzalisha taharuki, ikiwemo kuchukua matukio yaliyotokea katika nchi nyingine, kuyatengeneza upya, kisha kuyaunganisha na sauti za Kiswahili zenye lafudhi ya…

  • Watanzania wajiandaa kupiga kura kesho

    Watanzania wajiandaa kupiga kura kesho

    Tume zote mbili  INEC kwa Tanzania Bara na ZEC kwa Zanzibar  zimeahidi kufanya uchaguzi ulio huru, wa amani na unaozingatia sheria. Mashirika ya kiraia na waangalizi wa kimataifa pia wanatarajiwa kufuatilia mchakato huo unaotazamwa kama…

  • Kesi la Lissu: Jamhuri kutafakari uamuzi wa Mahakama kuhusu mapingamizi ya Lissu

    Kesi la Lissu: Jamhuri kutafakari uamuzi wa Mahakama kuhusu mapingamizi ya Lissu

    Upande wa Jamhuri ukiwakilishwa na Wakili Mkuu wa Serikali Renatus Mkude ulisema baada ya kumaliza ushahidi wa shahidi huyo, unakwenda kutafakari maamuzi yaliyotolewa na Mahakama Kuu juu ya mapingamizi mawili ambayo yaliletwa na mshtakiwa kuhusiana…

  • Lissu Ashinda Pingamizi Lingine Kesi Ya Uhaini

    Lissu Ashinda Pingamizi Lingine Kesi Ya Uhaini

    Katika pingamizi hilo, Lissu alipinga uwasilishaji wa taarifa hiyo akieleza kuwa shahidi, Mkaguzi wa Jeshi la Polisi Samwel Elibariki Kaaya hana mamlaka ya kisheria ya kuandaa “report” bali “certificate” pekee ya uchunguzi, kwa mujibu wa…

  • Wahukumiwa miaka saba jela kwa jaribio la kumteka mfanyabiashara Tarimo

    Wahukumiwa miaka saba jela kwa jaribio la kumteka mfanyabiashara Tarimo

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Kinondoni,  jijini Dar es Salaam, imewahukumu vijana wanne kifungo cha miaka saba jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kujaribu kumteka mfanyabiashara Deogratus Tarimo.

  • Amnesty yalaani ukiukaji wa haki za binadamu wa “kitaasisi” nchini Tanzania

    Amnesty yalaani ukiukaji wa haki za binadamu wa “kitaasisi” nchini Tanzania

    Kati ya Januari 2024 na Oktoba 2025, Amnesty iliripoti ukiukaji mpana wa haki za binadamu ikiwemo matukio ya watu kupotea kusikojulikana,  mateso na mauaji ya kiholela ya viongozi na wanaharakati wa upinzani.

  • Kesi ya Lissu:Hatima ya vielelezo vya video kesi ya Lissu kujulikana Jumatano

    Kesi ya Lissu:Hatima ya vielelezo vya video kesi ya Lissu kujulikana Jumatano

    Lissu, ambaye anajitetea mwenyewe, anakabiliwa na shtaka la uhaini yanayodaiwa kutokana na matamshi aliyotoa Aprili 3,2025. Alikamatwa Aprili 9, 2025 mkoani Ruvuma na kisha kusafirishwa hadi Dar es Salaam, ambako anakabiliwa na kesi hiyo mbele…

  • Lissu apinga vielelezo vya ushahidi wa video kupokelewa Mahakamani

    Lissu apinga vielelezo vya ushahidi wa video kupokelewa Mahakamani

    Lissu aliwasilisha hoja zake baada ya shahidi wa tatu wa upande wa Jamhuri kuendelea kutoa ushahidi wake kwa siku ya pili mfululizo, akihojiwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Thawabu Issa kuhusu uchunguzi wa kitaalamu alioufanya…

  • Kesi ya Uhaini ya Lissu: Shahidi wa pili amaliza ushahidi, mtaalamu wa picha aanza kuhojiwa

    Kesi ya Uhaini ya Lissu: Shahidi wa pili amaliza ushahidi, mtaalamu wa picha aanza kuhojiwa

    Awali leo kabla ya kuendelea na shahidi wa tatu mahakamani Lissu ambaye anajitetea mwenyewe katika kesi hiyo alimalizia maswali ya dodoso ambayo kimsingi alizungumzia kuhusu picha mjongeo ama video ambayo abadaiwa kuochapisha.

  • Kesi dhidi ya vigogo wa Chadema yapigwa kalenda

    Kesi dhidi ya vigogo wa Chadema yapigwa kalenda

    Katika kesi hiyo, vigogo hao wa CHADEMA wanatuhumiwa kukiuka amri ya Mahakama Kuu iliyotolewa Juni 10, 2025, kufuatia uwepo wa kesi ya madai inayohusu usawa kwenye mgawanyo wa mali ndani ya CHADEMA, inayosikilizwa chini ya…