Asia Gamba
-

Marekani yarejesha msaada wa chakula Somalia
Mwanzoni mwa Januari, Washington ilisimamisha msaada huo kwa Somalia kufuatia taarifa za wizi na kuingiliwa kwa shughuli za misaada na Serikali ya Somalia. Marekani ilidai kuwa maofisa wa Somalia walikamata kinyume cha sheria tani 76…
-

Kiongozi wa upinzani Uganda ajificha, mwingine akiwa mahututi hospitalini
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, amesema yuko mafichoni kufuatia uchaguzi wa wiki iliyopita, huku kiongozi mwingine wa upinzani, Kizza Besigye, akiwa mahututi kutokana na hali mbaya ya afya, kwa mujibu wa mke wake.
-

Ni nini hatma ya kesi ya Lissu?
Tundu Lissu ni mwanasiasa mkongwe wa upinzani na mmoja wa wakosoaji wakuu wa sera na utendaji wa serikali nchini Tanzania, anakabiliwa na mashtaka ya Uhaini ambayo anadaiwa kuyatenda mnamo mwezi Aprili 2025. Kesi yake imeibua…
-

Kiongozi wa upinzani Uganda Bobi Wine aonya maandamano endapo uchaguzi utahujumiwa
Zaidi ya watu milioni 20 wamejiandikisha kupiga kura katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki, huku Museveni mwenye umri wa miaka 81 akitarajiwa kwa kiasi kikubwa kuendelea kutawala kwa muhula mwingine, akisaidiwa na udhibiti wake mkubwa…
-

Bunge la Zambia Lapitisha Kwa Utata Muswada wa Kubadili Sheria za Uchaguzi
Muswada huo unapendekeza kurekebisha baadhi ya vifungu vya katiba ya taifa hilo lenye utajiri wa shaba kusini mwa Afrika, ikiwemo kuongeza idadi ya viti vya wabunge wanaochaguliwa pamoja na kutenga viti 40 kwa wanawake, vijana…
-

Dkt Mwigulu: Watanzania Tunzeni Akiba ya Chakula
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali ya kuchelewa kwa msimu wa mvua.
-

Waziri wa zamani nchini Tanzania Geofrey Mwambe ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za jinai
Taarifa ya polisi iliyotolewa leo, tarehe 12 Desemba 2025, imeeleza kuwa Mwambe ambaye aliwahi kuwa Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji na baadaye Wizara ya Viwanda na Biashara alikamatwa wakati wa operesheni ya…
-

Wakimbizi wa Congo wasimulia vifo na machafuko wakati vita vikianza upya
Maelfu wamekimbia huku raia wakijikuta tena katikati ya mapigano kati ya M23, jeshi la Congo na washirika wao.
-

Samia:Vurugu za Oktoba 29, zimeishushia hadhi Tanzania Kimataifa
Rais Samia Suluhu Hassan amesema sifa ya Tanzania kama kisiwa cha amani imeanza kuporomoka kutokana na matukio ya vurugu, uchochezi na matumizi ya dini katika siasa, akisisitiza kuwa vitendo hivyo vinadhoofisha misingi iliyoiweka nchi hiyo…








