Asia Gamba
-

Ripoti ya Tume:Mfumo wa kodi unahitaji marekebisho makubwa
Akiwasilisha ripoti hiyo, Mwenyekiti wa Tume Ombeni Sefue alieleza kuwa mfumo wa sasa wa kodi una changamoto kubwa zinazowaumiza wananchi na kudhoofisha imani yao kwa serikali.
-

Israel yashambulia Tehran na Beirut huku Iraq ikizidi kuhusishwa katika vita vya Mashariki ya Kati
Vita hivyo, sasa vikiwa katika wiki ya tatu, vimesababisha vifo vya mamia ya watu na kuenea haraka, vikijumuisha mashambulizi ya Iran dhidi ya nchi za Ghuba pamoja na mashambulizi ya Israel nchini Lebanon.
-

Hukumu yaondoa sharti la BAKWATA kwa taasisi za Kiislamu
Kwa mujibu wa uamuzi huo, taasisi na mabaraza mbalimbali ya Kiislamu sasa yanaweza kuendesha shughuli zao na kuchagua viongozi wao bila kulazimishwa kuwa chini ya mwamvuli mmoja.
-

Rostam Aziz mmiliki mpya wa kampuni ya habari ya Nation Media Group
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana Jumanne, Machi 10, 2026, AKFED imefikia makubaliano ya kuuza umiliki wake wa asilimia 100 katika kampuni ya NPRT Holdings Africa Limited kwa kampuni ya Taarifa…
-

Kanisa Katoliki Musoma lalaani Polisi kuwapiga mabomu BAWACHA kanisani
Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Musoma, Michael Msonganzila, amelaani vikali tukio la Jeshi la Polisi kurusha mabomu ya machozi ndani ya eneo la kanisa wakati wa ibada, tukio lililotokea wakati wanachama wanawake wa Chadema …
-

Mfululizo wa migogoro inayotoa wasiwasi ulimwenguni
Mgogoro wa sasa unaoendelea Mashariki ya Kati umeibuka kuwa mojawapo ya misukosuko mikubwa ya kisiasa na kijeshi ya karne hii, ukiivutia dunia nzima kufuatilia kwa kiasi kikubwa. Mwaka 2026 umeanza na mapigano makali kati ya…
-

G7 kujadili kuachilia akiba za kimkakati za mafuta
Masoko ya hisa ya Asia yalishuka kwa kasi Jumatatu huku bei za mafuta zikiongezeka kwa asilimia 30 kutokana na hofu ya upatikanaji wa mafuta kutoka Mashariki ya Kati, wakati vita vya Marekani na Israel dhidi…
-

Tahadhari yatolewa ongezeko la Influenza na COVID-19 nchini Tanzania
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mafua makali ya Influenza na UVIKO-19 huambukizwa kupitia majimaji yanayotoka kwenye mfumo wa njia ya hewa ya mgonjwa, ambayo husambaa wakati wa kukohoa, kupiga chafya au kuzungumza.Vilevile, maambukizi yanaweza kutokea…
-

WFP yasitisha misaada katika kaunti ya Sudan Kusini baada ya msafara wao kushambuliwa
WFP ilisema ilishambuliwa wiki iliyopita katika jimbo jirani la Upper Nile, eneo jingine linalochukuliwa kuwa ngome ya vikosi vya Machar.








