Asia Gamba
-

Jamhuri na Lissu kukutana tena Mahakama ya Rufani kesho kuhusu ushahidi wa ACP Mahamba
Ni hatua nyingine muhimu katika kesi ambayo imeendelea kuvuta hisia za wananchi ndani na nje ya Tanzania tangu Lissu alipokamatwa Aprili 9, 2025 na kushtakiwa kwa kosa la uhaini.
-

“Yuda Yuko Wapi?” kauli ya mbunge bungeni yazua maswali kuhusu uaminifu ndani ya Serikali
Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2026/2027 umechukua sura mpya baada ya Mbunge wa Jimbo la Tunguu, Zanzibar, Simai Mohammed Said, kutoa kauli kali dhidi ya kile alichodai kuwa ni…
-

Mgomo wa usafiri Kenya kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta waingia siku ya pili
Waendeshaji wa matatu walishindwa kufikia makubaliano ya kupunguza bei katika mazungumzo na serikali siku ya jana Jumatatu, hali iliyosababisha mgomo huo kuendelea.
-

Wanasiasa na Wanaharakati waishambulia Ofisi ya Msajili kwa kutishia kuifuta Chadema
Ukosoaji huo umeongezeka katika mtandao wa X, ambapo viongozi mbalimbali wa kisiasa, wanasheria na watetezi wa haki za binadamu wameeleza wasiwasi wao kuhusu kile wanachodai kuwa ni matumizi ya mamlaka yanayoweza kuhatarisha demokrasia na ushindani…
-

Rais wa Burundi kugombea tena muhula ujao katika uchaguzi wa 2027
Alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa rais Mei 2020 katika uchaguzi uliokumbwa na tuhuma za udanganyifu na kuondolewa kwa mpinzani wake mkuu.
-

Heche:Hatuwezi kufanya mazungumzo yoyote kama Lissu yupo gerezani
“Tumeshasema wazi, mtu anayeweza kuongoza chama hiki kufanya maamuzi yoyote yuko gerezani. Mwachieni Lissu” alisema Heche
-

Miezi 10 ya kimya cha kulazimishwa: Je, Chadema wako tayari kurudi kwa nguvu?
Itakumbukwa kuwa Juni 10,2025 Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, ilizuia kwa muda shughuli za kisiasa za chama hicho Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, baada ya aliyekuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho upande…
-

Siku 366 za Lissu gerezani:Shinikizo la kutaka kuachiwa laongezeka ndani na nje ya TZ
Lissu alikamatwa Aprili 9, 2025 katika Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma, wakati wa operesheni maalum iliyopewa jina la “No Reforms No Election”, kampeni iliyolenga kushinikiza mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi nchini.









