Asia Gamba
-

Rais Samia awaonya viongozi wa dini kutumia majukwaa yao kuchochea chuki kisiasa
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema tofauti za kisiasa au mapenzi binafsi kwa kiongozi haziwezi kuwa sababu ya kuvuruga amani ya nchi, akisisitiza kuwa Tanzania imejengwa katika misingi ya demokrasia na utulivu tangu kuanzishwa…
-

Chadema yaikataa Tume ya Rais Samia, yashinikiza uchunguzi wa Kimataifa
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche, akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Novemba 19, 2025, amesema Rais Samia hana mamlaka ya kimaadili wala kisiasa kuunda chombo cha kuchunguza kile chama hicho kinachokitaja kuwa ni…
-

Samia aunda Tume kuchunguza ghasia za uchaguzi, atoa wito wa maridhiano na kuahidi mchakato wa Katiba Mpya ndani ya siku 100
Akitangaza hatua ya serikali kuunda Tume maalum ya uchunguzi, alisema uchunguzi huo utakuwa msingi wa kuelewa chanzo cha migogoro na kuchukua hatua za kurejesha maelewano ya kitaifa.
-

Ado amshauri Nchemba kusimamia mchakato wa Katiba Mpya
“Tunaamini utaisimamia maboresho ya demokrasia nchini na kuipatia Tanzania Katiba Mpya, hasa ikizingatiwa kwamba siasa na vyama vya siasa viko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu,”
-

Polisi:Kuna watu wanaandaa taarifa za upotoshaji kuleta taharuki
Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema kuwa baadhi ya taarifa hizo zimeandaliwa kwa uangalifu ili kuzalisha taharuki, ikiwemo kuchukua matukio yaliyotokea katika nchi nyingine, kuyatengeneza upya, kisha kuyaunganisha na sauti za Kiswahili zenye lafudhi ya…
-

Watanzania wajiandaa kupiga kura kesho
Tume zote mbili INEC kwa Tanzania Bara na ZEC kwa Zanzibar zimeahidi kufanya uchaguzi ulio huru, wa amani na unaozingatia sheria. Mashirika ya kiraia na waangalizi wa kimataifa pia wanatarajiwa kufuatilia mchakato huo unaotazamwa kama…
-

Kesi la Lissu: Jamhuri kutafakari uamuzi wa Mahakama kuhusu mapingamizi ya Lissu
Upande wa Jamhuri ukiwakilishwa na Wakili Mkuu wa Serikali Renatus Mkude ulisema baada ya kumaliza ushahidi wa shahidi huyo, unakwenda kutafakari maamuzi yaliyotolewa na Mahakama Kuu juu ya mapingamizi mawili ambayo yaliletwa na mshtakiwa kuhusiana…
-

Lissu Ashinda Pingamizi Lingine Kesi Ya Uhaini
Katika pingamizi hilo, Lissu alipinga uwasilishaji wa taarifa hiyo akieleza kuwa shahidi, Mkaguzi wa Jeshi la Polisi Samwel Elibariki Kaaya hana mamlaka ya kisheria ya kuandaa “report” bali “certificate” pekee ya uchunguzi, kwa mujibu wa…









