Jua kwa nini Kenya inapaswa kuwa kivutio cha kila mtu barani Afrika
Balozi wa Marekani nchini Kenya Meg Whitman ameipongeza Kenya kuwa eneo bora zaidi kwa kila mtu anayesafiri barani Afrika
Balozi wa Marekani nchini Kenya Meg Whitman ameipongeza Kenya kuwa eneo bora zaidi kwa kila mtu anayesafiri barani Afrika
She discovered her interest in climate and environmental change at only 18 yrs old
Alikamatwa mjini Paris 2020 baada ya kukimbia kwa miongo miwili, Kabuga aliyekuwa akitumia kiti cha magurudumu alifikishwa mahakamani Septemba iliyopita na akakana mashtaka.
The summit, focusing on transforming the African coffee sector through value addition, aims to address challenges in the coffee value chain and promote sustainable production, research, market access, and consumption through intra-regional trade.
Pastor Dorcas called on Kenyans not to attach demeaning names to those in addiction but to support them as they restore their lives.
Serikali inasema ushuru huo utasaidia kuunda nafasi za kazi na kupunguza ukopaji wa umma
Alitoa ahadi hiyo alipokuwa akizindua mkutano wa kilele na viongozi wa bara hilo siku chache baada ya kujiondoa kwenye mkataba wa mauzo ya nafaka wa Ukraine
Ziara ya Ruto inajiri siku chache baada ya rais wa Tanzania kufichua kuwa baadhi ya wawekezaji walipiga kambi katika nchi hiyo jirani kutokana na kukosekana kwa utulivu wa kisiasa nchini Kenya.
Former president Donald Trump announced in 2017 that he was pulling the United States out of UNESCO, accusing the body of bias against Israel. The decision took effect in 2018
Raila aliviambia vyombo vya habari kuwa Rais Ruto, aliyeanzisha mkutano huo, aliwafanya wasubiri na hakuonekana katika mkutano huo licha ya juhudi za Mkuu wa Nchi ya Tanzania, Samia Suluhu.