Mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwanaharakati wa LGBTQ Edwin Chiloba kushtakiwa
Jacktone Odhiambo, ambaye alikiri kumuua Edwin Chiloba kwa madai ya kutokuwa mwaminifu katika uhusiano wao atakabiliwa na mashtaka ya mauaji
Jacktone Odhiambo, ambaye alikiri kumuua Edwin Chiloba kwa madai ya kutokuwa mwaminifu katika uhusiano wao atakabiliwa na mashtaka ya mauaji
Mwanamume huyo aliyevunjika moyo alisema alitaka mchumba wake amalize masomo yake kabla ya kufunga pingu za maisha
Inahofiwa kuwa huenda dereva alipitiwa na usingizi
Shirika hilo la ndege, ambalo linamilikiwa na Air France KLM, liliomba msamaha kwa serikali ya Kenya, likisema ushauri huo “umekusudiwa kwa wateja wetu nchini Tanzania pekee”.
Gachagua alisema unywaji wa pombe haramu umefikia viwango vya wasiwasi na unatishia kuondoa kizazi cha vijana
Maabara hiyo inatarajiwa kupunguza idadi ya watu wanaosafiri nje ya nchi kwa matibabu maalum
Waziri Mkuu Elisabeth Borne anasema mabadiliko hayo ni muhimu ili kuzuia upungufu mkubwa katika mfumo huo katika siku zijazo
Uchumi katika mataifa 54 barani Afrika uliathiriwa sana na mdororo wa kiuchumi wa kimataifa wa uvamizi wa Urusi nchini Ukraine
Tukio hilo la Kasindi, karibu na mpaka wa Uganda lilisababisha vifo vya watu 10 na liliacha takriban watu wengine 39 kujeruhiwa
Rais Museveni ameweka marufuku ya kusafiri nje ya nchi kwa Wabunge na watumishi wa umma ili kuokoa pesa kwa sekta zingine zinazopewa kipaumbele