Joy Cheptoo
-

Maandamano makubwa yanayofanyika barani Afrika
Maandamano yaliyopangwa ya Azimio yanaambatana na angalau maonyesho mengine 4 ‘yanayofanana’ katika nchi 4 tofauti za Afrika
-

Bob Junior: Simba ambaye alikuwa ‘mfalme’ wa Serengeti auawa na wapinzani
Serengeti kaskazini mwa Tanzania ni nyumbani kwa simba takriban 3,000, na ni maarufu kwa watalii wa ndani na nje ya nchi
-

Nimechoka kusubiri, nitagombea urais 2026 – Jenerali Muhoozi atangaza
Kupitia mtandao wake wa Twitter, Muhoozi alisema hivi karibuni atachukua msimamo kuhusu suala hilo
-

Gianni Infantino amechaguliwa tena kuwa rais wa FIFA hadi 2027
Infantino pia ametangaza makadirio ya mapato ya dola bilioni 11 katika miaka minne hadi 2026, ikilinganishwa na $ 7.5 bilioni katika mzunguko wa miaka minne uliomalizika mnamo 2022
-

Mtu mmoja hufariki kwa ajali kila wiki jijini Mwanza nchini Tanzania
Upande wa pikipiki zimetokea ajali kubwa 30 kwa kipindi hicho cha Januari hadi Desemba, 2022 zilizosababisha vifo vya watu 25 na kujeruhi watu 26
-

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris kuzuru Afrika baadaye mwezi huu
Anapanga kuwa Ghana kuanzia Machi 26 hadi 29, kisha Tanzania kuanzia Machi 29 hadi 31. Kituo chake cha mwisho ni Zambia, Machi 31 na Aprili 1.
-

Rapa kutoka Afrika Kusini Costa Titch afariki baada ya kuanguka jukwaani
Costa Titch alitamba sana na “Big Flexa,” ambayo imetazamwa zaidi ya milioni 45 kwenye YouTube
-

Ruto: We will be decisive in stamping out banditry
President Ruto pointed out banditry and cattle rustling as some of the criminal activities that the Government has committed to ending
-

Uganda yawasilisha mswada wa kupinga ushoga bungeni
Uganda inajulikana kwa kutostahimili ushoga, ambayo inaharamishwa chini ya sheria za enzi za ukoloni, na maoni makali ya Kikristo kuhusu ngono kwa ujumla
-

Upinzani nchini Nigeria waandamana kupinga matokeo ya uchaguzi
Uchaguzi wa Nigeria mara nyingi umekumbwa na madai ya udanganyifu







