Joy Cheptoo
-

Mali yaondoa kusimamishwa kwa kituo kikuu cha Habari
Mamlaka ya mawasiliano ya Mali ilisema kuwa imeondoa kusimamishwa kwa moja ya kituo kikuu za habari za nchi hiyo ya Sahel, iliyotolewa hewani mwezi mmoja uliopita kwa ukosoaji wa serikali ya kijeshi.
-

Uganda yakamata boti 8 za wavuvi wa Kenya katika Ziwa Victoria
Maafisa wa usalama wa Uganda wamezuilia boti nane za wavuvi, ambazo wamiliki wake raia wa Kenya walituhumiwa kwa kuingia katika Ziwa Victoria
-

Kenya yaapa kukandamiza matumizi ya dawa za kusisimua misuli baada ya kukwepa marufuku ya riadha
Waziri wa Michezo wa Kenya Ababu Namwamba alishukuru Riadha ya Dunia kwa kuipa nchi hiyo nafasi ya pili na kusema kuwa serikali iko tayari kupigana “vita” dhidi ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli
-

Museveni aahidi kusaidia ufugaji wa samaki
Rais alisema sekta ndogo ya uvuvi inachangia asilimia nne kwenye Pato la Taifa (GDP) na ni ya pili kwa mauzo ya nje ya Uganda baada ya kahawa
-

Volcano ya Hawaii, kubwa zaidi duniani, inalipuka kwa mara ya kwanza tangu 1984
Mlima wa volcano wa Hawaii wa Mauna Loa, ambao ni mlima mkubwa zaidi wa volkano duniani, umelipuka kwa mara ya kwanza katika takriban miaka 40
-

FIFA yaondoa marufuku kwa shirikisho la soka la Kenya lililokumbwa na kashfa
FIFA imeondoa marufuku kwa shirikisho la soka la Kenya, kufuatia uamuzi wa serikali kurejesha chombo hicho baada ya kulivunja kwa madai ya rushwa
-

DR Congo kufanya uchaguzi ujao wa urais mnamo Disemba 2023
Tangazo hilo linakuja wakati waasi wa M23 wakisonga mbele katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo yenye machafuko ya Afrika
-

Mhindi ajichoma hadi kufa katika maandamano ya lugha
Lugha ni suala la hisia nchini India ambapo mamia ya lugha na lahaja huzungumzwa, lakini Kiingereza hutumika kama chombo kikuu rasmi
-

Kiongozi wa upinzani Anwar ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Malaysia
Kiongozi wa upinzani wa Malaysia Anwar Ibrahim aliteuliwa kuwa waziri mkuu siku ya Alhamisi, na kumaliza mzozo wa kisiasa uliodumu kwa siku kadhaa baada ya uchaguzi ambao haukukamilika
-

Polisi wamkamata mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Makerere anayedaiwa kumpiga mwanafunzi kofi
Polisi mjini Kampala wamemkamata mhadhiri wa chuo kikuu cha Makerere Bernard Wandera kwa tuhuma za kumpiga mwanafunzi kofi







