Joy Cheptoo
-

Watu wanane wafariki katika mkanyagano katika tamasha la Fally Ipupa DR Congo
Uwanja wa Martyrs una uwezo wa kuchukua watu 80,000 na ripoti zinasema kwamba ulikuwa umejaa kabisa kwa kipenzi cha wenyeji
-

Waziri Mkuu mpya wa Lesotho aingia madarakani
Mwanasiasa Sam Matekane siku ya Ijumaa alikula kiapo cha kuwa waziri mkuu mpya wa Lesotho katika uwanja wa Setsoto uliofurika katika mji mkuu, Maseru.
-

Tanzania yaanza mgao wa maji kutokana na ukame
Wakazi milioni 5.5 watakwenda bila maji ya bomba kwa saa 24 kwa siku mbadala, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema.
-

Mtoto wa Museveni, Jenerali Muhoozi ajivunia kuwa atakuwa rais wa Uganda
“Njia pekee ninayoweza kumlipa mama yangu ni kwa kuwa Rais wa Uganda! Na hakika nitafanya hivyo!!” Jenerali Muhoozi aliandika katika ukurasa wake wa Twitter.
-

Mawaziri wa Uganda kuanza kuchukua masomo ya Kiswahili
Hayo ni kwa mujibu wa Naibu Waziri Mkuu wa kwanza wa nchi hiyo na Waziri wa Masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Rebecca Kadaga.
-

‘Mtu mchafu zaidi duniani’ afariki Iran akiwa na umri wa miaka 94
Amou Haji, ambaye hakujiosha kwa zaidi ya nusu karne, alifariki Jumapili katika kijiji cha Dejgah katika mkoa wa kusini wa Fars
-

Mwili wa mwanamke wa Uingereza unaohusishwa na ibada kufukuliwa Kenya
Luftunisa Kwandwalla, 44, alikuwa akizuru mji wa Mombasa alipokutana na kifo chake Agosti 2020, na kuzikwa siku moja baadaye, lakini familia yake imedai mchezo mchafu
-

Rishi Sunak: Britain’s new Prime Minister of Kenyan and Tanzanian origin
Rishi Sunak, is set to become the 56th Prime Minister of the United Kingdom, and the next leader of the Conservative Party
-

Renowned Pakistani journalist Arshad Sharif shot dead in Kenya
The news was first announced by his wife Javeria Siddique, leading to a speculation frenzy from Pakistani citizens as they tried to come to terms with the tragedy
-

Muuguzi wa Kenya auawa na mgonjwa wa afya ya akili Marekani
June Onkundi ambaye alifanya kazi katika kituo cha kupona cha Freedom House, alidaiwa kudungwa kisu katika ofisi yake mwenyewe Jumanne, Oktoba 18.







