Kevin Sewe

  • Matiang’i Adinda Kuandikisha Taarifa Kwa DCI

    Matiang’i Adinda Kuandikisha Taarifa Kwa DCI

    Kulikuwa na hali ya mshike mshike katika afisi za DCI baada ya aliyekuwa waziri wa usalama Dkt Fred Matiangi Kudinda kuandikisha Taarifa kwa idara hiyo ya Upelelezi. Badala yake Matiangi aliamua kusalia kimya na kutangaza…