Kenya yachunguza wizi wa kondomu na dawa zilizotolewa na shirika la misaada Global Fund
Takribani kondomu milioni 1.1, vyandarua 908,000 na dawa za kifua kikuu zenye thamani ya $91,000 ziliibwa kutoka kwa ghala ya (KEMSA)
Takribani kondomu milioni 1.1, vyandarua 908,000 na dawa za kifua kikuu zenye thamani ya $91,000 ziliibwa kutoka kwa ghala ya (KEMSA)
Uganda imeshuhudia msururu wa mikasa inayolenga kukomesha upinzani, huku waandishi wa habari wakishambuliwa, mawakili kufungwa, waangalizi wa uchaguzi kufunguliwa mashtaka na viongozi wa upinzani kunyamazishwa.
RFI (Radio France Internationale) na France 24 zinaripoti habari za Kiafrika kwa upana na zina ufuasi mkubwa katika koloni la zamani la Ufaransa.
Zaidi ya watu 2,000 wameuawa katika mji huo wa Mariupol kulingana na mamlaka ya Ukraine.
Bei ya unga wa mahindi, mchele, sukari, mafuta na nyanya imepanda, na hivyo kutoa changamoto kubwa kwa wale wanoishi kwa dola kadhaa kwa siku.
Uchaguzi wa wabunge wa ngazi ya chini na wa juu ulipaswa kukamilishwa kabla ya muhula wa Rais Mohamed Abdullahi Mohamed kukamilika Februari 2021.
Kuhamishwa kwa ndovu hao hadi kwa hifadhi ya Kenya itagharimu pauni 950,000 (dola milioni 1.2), kulingana na Wakfu wa Aspinall, kikundi cha uhifadhi wa wanyama pori.
Mwanamume huyo mwenye umri wa miaka 67 alivinjari tovuti za ndoa akijifanya kuwa daktari na kuwashawishi wanawake maprofesa, wanasheria, matabibu na afisa wa kijeshi kufunga ndoa naye
Mwezi huu Urusi ilipitisha vifungo vya sheria vya kifungo cha hadi miaka 15 jela kwa kueneza habari za uwongo zenye lengo la kudhalilisha jeshi lake, pamoja na kifungo cha hadi miaka 3 jela kwa kuitisha vikwazo dhidi ya Urusi.
Kremlin ilisema wiki iliyopita kwamba watu wa kujitolea, wakiwemo kutoka Syria, wanakaribishwa kupigana pamoja na jeshi la Urusi nchini Ukraine.