Ndege iliyokuwa na watu 14 yaanguka Comoros
Serikali ya Comoro ilisema abiria hao 12 walikuwa raia wa Comoro na kwamba marubani wawili walikuwa Watanzania.
Serikali ya Comoro ilisema abiria hao 12 walikuwa raia wa Comoro na kwamba marubani wawili walikuwa Watanzania.
“Natangaza rasmi mbele ya NGC kwamba najiondoa kutoka kinyang’anyiro cha urais kwa tiketi ya ODM”
Rapa hao wawili walisainiwa mwaka jana kwenye lebo ya muziki ya rappa maarufu wa Nigeria na nyota wa Afropop Naira Marley.
Hali tete na umaskini vimeifanya nchi hiyo kuwa kitovu cha ulanguzi wa cocaine kati ya Amerika Kusini na Uropa
Uamuzi huo ulifuatia msururu wa kufutuliwa mbali kwa safari za ndege baada ya Urusi kupeleka wanajeshi wake nchini Ukraine.
Mwenyekiti wa sasa wa muungano huo, Rais wa Senegal Macky Sall amesema ‘ana wasiwasi mkubwa’ na uvamizi huo.
Pereira, alishindwa katika uchaguzi wa urais wa 2019 na Embalo, ndiye kiongozi wa Chama cha African Party for the Independence of Guinea and Cape Verde (PAIGC).
Daraja la Paai liligharimu takriban Ksh 100M na lilizinduliwa mwezi Febuari mwaka huu na gavana wa Kajiado Ole Lenku
Ukraine imepata hasara kubwa katika mzozo wake wa miaka minane na waasi wanaoungwa mkono na Urusi katika eneo la mashariki linalotaka kujitenga
Upandaji na utumizi wa bangi umeongezeka katika nchi hiyo katika miaka ya hivi karibuni, licha ya kuwa ni kinyume cha sheria.